Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,085
- 8,469
Sema waandishi wetu hawa ๐๐๐๐๐๐ acha tu wewe ila hii inachekesha pia
Sema waandishi wetu hawa ๐
Wakishiba ugali na maharage anakuja kutuokota
Nitag kwenye story nzuri ila sio ujasusi ๐
Awe anatutumia pm nasi tunatumianaNzehe Pettymagambo mume wao Yunge's hebu rudi, hii ni Jf ina kauli chafu na safi, hivyo usiangalie wanaokukosea heshima bali tuangalie sisi wengine tunaovutiwa na kujifunza kutokana na simulizi yako
HakikaAwe anatutumia pm nasi tunatumiana
Watu tumemkatisha tamaa wenyewe ujuaji mwingi,
Vijana wa hovyo wamemtibuaMi sajamtukana japo nakwazika kweli
Tujaribu kumshawishi Pettymagambo arudiNzehe Pettymagambo mume wao Yunge's hebu rudi, hii ni Jf ina kauli chafu na safi, hivyo usiangalie wanaokukosea heshima bali tuangalie sisi wengine tunaovutiwa na kujifunza kutokana na simulizi yako
Asithubutu kurudi kuleta uongo wake hapa akawasimulie mademu zake huko huko kwao hatutaki story za kijinga jinga huku kujaza seva bureTujaribu kumshawishi Pettymagambo arudi
Pettymagambo tuendelee na story achana na hao wajinga wasiojielewa!!
Sasa kwanini huwa unausoma huo uongoAsithubutu kurudi kuleta uongo wake hapa akawasimulie mademu zake huko huko kwao hatutaki story za kijinga jinga huku kujaza seva bure
UmechefukwaaaaStory za Jamii forum ni upumbavu mtupu
Yaani Hawa watu natamani jf ingekuwa na sehemu ya VN Ila bahati yaoHajawahi kukuvuta uje kusoma ni wewe na kiherehere chako, hebu muache kujipa umuhimu kwenye mambo yasiyowahusu. Msiwe kama watoto wa kike ambao wanataka kujishobokesha kwa mwanaume asiye na time nao, balance shobo na uchape lapa ukiona ni uongo. Hizo tabia mnazoleta wanaume hatuna, msitake tuwaone homoni za kike zimewazidi