True Or False

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
Ukiwa unapendwa, basi heshimu hisia na Umuhimu wa anayekupenda, kumbuka Umuhimu wa mtu huja baada ya kuondoka.

Mpende mpenzi wako kwa Hali yoyote aliyonayo, Ile kauli ya kusema wanaume wote wanafanana haina utashi ndani yakeTrue or false

 
Sioni uwiano wa thread na hiyo picha
 
kujamba hovyo uvumiliwe?.lazima nikuambie ni tabia mbaya.
Nan anataka harufu za kijambo chako? mfyuuuu
 
Hiyo picha umenikumbusha thread ya jamaa mmoja humu. Mpenzi wake alikuwa anamlazimisha amjambie akawa hataki hadi wakaachana kwa sababu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…