True Love

HUU UTUMWA SASA CO MAPENZ..mapenz gan ya kutesana hv
 
hapana huu ni unyanyasaji uliopitiliza. yaani watoto watembee wenyewe mzee kajiachia tu mgongoni.
 
Mmmh kweli wanaume ni zaidi ya watt hubebwa hunyonyeshwa huogeshwa hulishwa hubembelezwa mwe ningezaliwa mwanaume ningefaidi.
 
Hakuna kitu hapo, baba ilibidi abebe mzigo au ambebe huyo kichanga
 
Mama mwenzetu katudhalilishaje... Watoto wamechoka unabeba zee zima. Nyambaffff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…