[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mchagua nazi.... Wengi wanataka waoe wenye sifa za malaika sijui watawatoa wapi karne hii hahahaa emu waende mbinguni wakachumbie malaika mkiruhusiwa njooeni nao muoane.... Na Mungu haezi ruhusu maana mtamuharibia malaika wake kwa tabia zenu ... Bora tuvumiliane tu wanadamu[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji13] [emoji12]
Nawe ni mume bora?Pagumu hapo!
Nilitegemea kupata mke bora huko kwenye Makanisa, na penyewe pamechafuka tu.
Mmh kwa hiyo unakuwa na false love? maisha ya ivo magum sana,ukijifanya una true love siku hizi utaumia sana , mheshimu mwenza wako mtendee haki ila akikuzingua achana nae.
kwa uzoefu wangu watu wanaojiumiza kwa ajili ya wengine ndio wanaoongoza kwa majuto duniani
siwezi kuuita ni false, ila ukinijali mimi nitakujali, ukinizingua naachana na wewe,Mmh kwa hiyo unakuwa na false love? maisha ya ivo magum sana,
Ilo nalo neno! mi ndo maana nimeamua kuupiga chini huo upuuz! ngja nifanye yangu kwanzasiwezi kuuita ni false, ila ukinijali mimi nitakujali, ukinizingua naachana na wewe,
wewe upo radhi kumg'ang'ania mtu asiyekujali kisa unampenda?
upuuzi upi?Ilo nalo neno! mi ndo maana nimeamua kuupiga chini huo upuuz! ngja nifanye yangu kwanza
Mapenz, jua inaboa sana kumpenda mtu asiekupenda. Bora ntulieupuuzi upi?
Wife material
Wife material
Ila shamba lina hatimiliki tayari
hahaaa, labda hujapata mwenza compatible, unaonaje tukijaribu sisi wawili bibie, inawezekana tukawa tunaendana,Mapenz, jua inaboa sana kumpenda mtu asiekupenda. Bora ntulie
Hahaaaa haya bhanahahaaa, labda hujapata mwenza compatible, unaonaje tukijaribu sisi wawili bibie, inawezekana tukawa tunaendana,
Ooh nahHaiwezekani mmiliki kubadilishwa?