True Color of Democracy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

True Color of Democracy

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sam GM, Jul 16, 2008.

 1. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Changamoto kwa waTanzania

  Kwa vile hapa JF tumekuwa na tabia ya kupeana habari, kurekebishana na kupeana mikakati nimeona kuwa tukiwa na uchaguzi ambao hauko mbali sana tunaweza kuwa na mikakati au changamoto za kuleta maendeleo na mabadiliko katika nchi yetu.

  Kuna wakati ambapo watu wamefikiria kuwa watanzania walioko nje wamekuwa wakiandika na kutoa mawazo yao katika mtandao bila kufanya vitendo. Kuna baadhi ya viongozi kama vile Zitto na wengine pia hata wasio viongozi wanaona mchango wa watanzania walioko nje kiuchumi na kimawazo.

  Kuna nchi ambazo zimekuwa na taratibu za kuruhusu wananchi wao walioko nje kupiga kura, kwa upande wetu Tanzania hili halijafanyika, kama watu tunaopenda mabadiliko na maendeleo, tutafanya vipi kuwasaidia walioko nje kupiga kura?

  Pia kuna nchi kama Algeria (soma hapa) ambazo zimekuwa na uwakilishi bungeni kwa wananchi walioko nje, wamepiga kura na kuchagua hata wabunge au wawakilishi wao, kwa mazingira yetu ya Tanzania na kuangalia mifano hiyo tunaweza kusaidiana vipi kufanikisha haya?

  Pia kuna some more info hapa
   
 2. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  How do we push to have every vote counted in the coming election, especially votes za watanzania wanaoishi nje, haba na haba hujaza kibaba!

  source:http://www.medea.be/index.html?page=2&lang=en&doc=13
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Jul 18, 2008
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  gm,
  Navyoelewa mimi Wananchi wanaoishi nje (Diaspora) hawatambuliwi kama raia wa Tanzania (karne ya 21 hii)..
  Mara nyingi sheria zetu hazitazami wananchi walioko nje ktk masomo ama wamekwenda kufanya kazi kwa hiyo tunakuwa tumefungwa kimawazo.
  Kama sikosei Algeria imewatambua raia wake wanaoishi nje hata kama wamepata Uraia wa huko maadam tu hawajaukana Uraia wa Algeria..Labda kama sisi pia tutaanzia sheria ya Uraia wa nchi mbili au tatu (Duo Citizenship) kama walivyofanya wao..

  A person born in Canada to an Algerian father and British mother automatically acquires the Algerian citizenship and is entitled to British citizenship (in both cases).
  The child also is also entitled to Canadian citizenship.
  Algeria allows its nationals to acquire multiple citizenship. However, Algeria recognizes its nationals on its soil as Algerian, which can limit the ability of other countries whose citizenship the child possesses to provide consular assistance to the child when (s)he encounters problems.
   
 4. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkandara,

  It is a shame that serikali haitambui watanzania wanaoishi nje. JF ina member ambao wako Tanzania na wengine wengi tu walio nje ya nchi, kama wote hawa wangepiga kura japo inawezekana isilete mabadiliko makubwa lakini hatua za mabadiliko zingeanza kuonekana. Heri nusu shari kuliko shari kamili. Nafikiri kwa hii miaka miwili kabla ya 2010 tunaweza kuanza kulobby au kuwasukuma wabunge kuhusu mabadiliko ambayo yataruhusu kila kura ya mtanzania popote alipo ihesabiwe.
   
Loading...