TRL na mabehewa mabovu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TRL na mabehewa mabovu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAWANI, Sep 17, 2010.

 1. MAWANI

  MAWANI Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Behewa 5 zimeharibika kufuatia TRL kufanya safari zake mara moja kwa wiki ambapo inasababishwa na abiria wengi kubeba mizigo mingi kupita kiasi. Inakadiliwa kuwa kufuatia safari na mabehewa kupunguzwa, kila abiria anabeba mara tano ya uzito unaotakiwa. Kwa kawaida kila abiria anaruhusiwa kubeba kati ya kilo 40 na 70 kufuatia daraja analosafiria. Abiria wanaofanya safari zao kati ya Dar na Kigoma wamaiomba serikali kuongeza mabehewa. Source ITV 2000 hrs news; 17/09/2010.

  Katika hali kama hii, ahadi za Kikwete za kuanzisha reli mpya zinatekelezeka? Kama jibu ni ndiyo, kwanini reli ya kati isikarabatiwe ikawa bora na abiria wakasafiri kama binadamu badala ya kusafirishwa kama mizigo katika mabehewa mabovu? Karibu kuchangia.
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kama ni kweli hii inashangaza. Kwa nini hao TRL hawasimamii kuthibiti mzigo wa kila abiria? Kama wamepunguza safari na idadi ya mabehewa wanatakiwa kutegemea tatizo hilo. Au inahitaji wataalamu wenye PHd?
   
Loading...