Trilioni 424? Tuacheni utani jamani

Best ukiangalia hiyo assessment utakuta penalty na interest kubwa kuliko principal amount. Kuna mfanyabiashara mmoja aliletewa assessment ya 1.4 bil kuja kuangalia kodi ni 107 mil liyobaki ni penalty na interest ilikuwa balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msijisahaulishe pombe alisema walikwenda kumhinga milioni 300 ili asishughulikie makinikia

Lkn mikitaba ikiwa hovyo najiuliza nakosa jibu MTU umekuwa rais unataka kiki ili iweje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi siamini kama ile ndoto yangu ya kumiliki Noah ndio imeshatimia, wife nimempeleka driving school kabisa mana siku kila mtu anachukua Noah yake pale bandarini tusisumbuane. Kila mtanzania kuwa na Noah inawezekana.
 
Possibly kuna shida kwenye formula... endapo ametumia MS Excel, basi arudie kuzipitia upya..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Awamu hii kweli tumechemka hasa!! Turudi kwenye misingi!! Viongozi w juu waandaliwe wawe na elimu pana ya uchumi diplomasia uchumi ulinzi na usalama kidogo....tusikurupuke kusema kila mtu akachukue form tu hapana!!! Tuwaandae viongozi!!!!!
 
Watu wakienda kwenye arbitration, TRA wawe tayari kutoa ushahidi wa kuhalalisha hiyo assessment yao, vinginevyo IQ yetu itashushwa hadi tutakuwa wa mwisho kwenye chati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…