Trick ya voda free net kwa Android phones

thanx chief nmefankiwa kwa opera hv sahv nadownload tu bla hata shida... lakin sjajua kwa uc browser
inakuwaje maana inagoma kabsa
 
Nimefanikiwa na ipo na speed nzuri lkn hakuna mtu aliyefanikiwa kuwa application zote zinapata internet badala ya kukubali kufanya kwa opera peke yake?
 
Nadownload io opera inazingua, my phon ni galax s1 v2.3.6
 
Nimefungua ila inaonyesha nijaze maneno hya
FRONT QUERY-----
MIDDLE QUERY----
BACK QUERU-------
FILTER----
ADD PORT TO NON PORT URL
PROXY TYPE----
PROXY SERVER----
MI NA2MIA GALAX POCKET S5300
 
Nimefungua ila inaonyesha nijaze maneno hya
FRONT QUERY-----
MIDDLE QUERY----
BACK QUERU-------
FILTER----
ADD PORT TO NON PORT URL
PROXY TYPE----
PROXY SERVER----
MI NA2MIA GALAX POCKET S5300

I laud ur effort kuandika hivo ni rahisi hata kukuelekeza

-vitu vyote acha kama vilivo katika proxy type chagua realhost na proxyserver eka m.twitter.com
 
Jamani mi natumia Nokia X2 01 nikidownload haionyeshi chochote naombeni msaada
 
Wadau mi sikusoma ile post ya hizo proxy kwa java na symbian phones.Nimejaribu kutafuta hiyo post bila mafanikio.
Kama kuna anayeweza niwekea link ya hiyo post au kunipa maelezo ya njia hii kwa java and symbian phones atakuwa amenisaidia san.
 
Panda kibajaji twende (click kibajaji)

[post=4509821]
[/post]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…