Naunga mkono hoja, Prof. Benno Ndullu alikuwa Kichwa Mbaya.Hii nchi kuna watu walikuwa na sharp mind na watafiti sana , Hata wazungu waliwaogopa
Sio wengi waliyajua haya ya Benno lakini ukipita huku kwenye makala zake, YouTube utajifunza kitu kikubwa sana toka kwa Benno
Hata hivyo wapo wengi lakini Benno alifanya transformation kubwa sana Tanzania hasa kwenye issue za Financial inclusion na Mobile digitalization
Prof Marehemu Benno Ndulu alikuwa smart sana kichwani
Benno alikuwa anashiriki midahalo migumu ulaya na Africa huku akisimamia tafiti zake na Mageuzi Africa na Duniani
Katika pita pita zangu nimekutana na tribute kadhaa kumuhusu Benno
Nimeambatanisha maelezoView attachment 2207618View attachment 2207619
Kumbe alikuwa wa ifakara nilijua ni wa Mwanza / shinyangaWana IFAKARA wenzie tuliopo BOT tunamlilia sana! Ametuachia ukiwa.
Alikuwa Ana demu mkali Sana,,WA PEMBENI,alikuwa anatembelea bmw 318i nyekundu..mtoto alikuwa mtamu mnoo...RIP MKEMBE BENNO NDULLU
Hii nchi kuna watu walikuwa na sharp mind na watafiti sana , Hata wazungu waliwaogopa
Nikajiuliza hivi kwa miaka hiyo ya zamani Tanzania kweli kulikuwa na elimu bora sana iliowajenga watu kufikiri nje ya box na kujiamini sio elimu hii ya sasa ya kujibia mitihani
Sio wengi waliyajua haya ya Benno lakini ukipita huku kwenye makala zake, YouTube utajifunza kitu kikubwa sana toka kwa Benno
Hata hivyo wapo wengi lakini Benno alifanya transformation kubwa sana Tanzania hasa kwenye issue za Financial inclusion na Mobile digitalization
Prof Marehemu Benno Ndulu alikuwa smart sana kichwani
Benno alikuwa anashiriki midahalo migumu ulaya na Africa huku akisimamia tafiti zake na Mageuzi Africa na Duniani
Katika pita pita zangu nimekutana na tribute kadhaa kumuhusu Benno
Nimeambatanisha maelezoView attachment 2207618View attachment 2207619
Tangu lini watu wa kigoma mmeanza tabia za kihaya?😂😂 msalimie makamu wa raisi hapoHuyu Prof alikuwa kichwa maji usimkweze kisa alikuwa proffesor.
Alikuwa Ni one of the waste profs. Hata mi Dr wa uchumi nilikuwa namzidi tu Ni vile hunijui. Yeye alijulikana tu kwa sababu ya uswahiba wake na jk.
Angekuwa wa Mwanza nahakika Magufuli alivyokuwa mkabila angemuongezea muda!!Kumbe alikuwa wa ifakara nilijua ni wa Mwanza / shinyanga
Hii nchi kuna watu walikuwa na sharp mind na watafiti sana , Hata wazungu waliwaogopa
Nikajiuliza hivi kwa miaka hiyo ya zamani Tanzania kweli kulikuwa na elimu bora sana iliowajenga watu kufikiri nje ya box na kujiamini sio elimu hii ya sasa ya kujibia mitihani
Sio wengi waliyajua haya ya Benno lakini ukipita huku kwenye makala zake, YouTube utajifunza kitu kikubwa sana toka kwa Benno
Hata hivyo wapo wengi lakini Benno alifanya transformation kubwa sana Tanzania hasa kwenye issue za Financial inclusion na Mobile digitalization
Prof Marehemu Benno Ndulu alikuwa smart sana kichwani
Benno alikuwa anashiriki midahalo migumu ulaya na Africa huku akisimamia tafiti zake na Mageuzi Africa na Duniani
Katika pita pita zangu nimekutana na tribute kadhaa kumuhusu Benno
Nimeambatanisha maelezoView attachment 2207618View attachment 2207619
Mi ni mhaya haswaaaaTangu lini watu wa kigoma mmeanza tabia za kihaya?😂😂 msalimie makamu wa raisi hapo
Wabongo tunapenda sana kusifia watu baada ya kuwa wamemaliza kazi zao miaka mingi hata kama hawakiwa na impact wakati wapo kazini.Hii nchi kuna watu walikuwa na sharp mind na watafiti sana , Hata wazungu waliwaogopa
Nikajiuliza hivi kwa miaka hiyo ya zamani Tanzania kweli kulikuwa na elimu bora sana iliowajenga watu kufikiri nje ya box na kujiamini sio elimu hii ya sasa ya kujibia mitihani
Sio wengi waliyajua haya ya Benno lakini ukipita huku kwenye makala zake, YouTube utajifunza kitu kikubwa sana toka kwa Benno
Hata hivyo wapo wengi lakini Benno alifanya transformation kubwa sana Tanzania hasa kwenye issue za Financial inclusion na Mobile digitalization
Prof Marehemu Benno Ndulu alikuwa smart sana kichwani
Benno alikuwa anashiriki midahalo migumu ulaya na Africa huku akisimamia tafiti zake na Mageuzi Africa na Duniani
Katika pita pita zangu nimekutana na tribute kadhaa kumuhusu Benno
Nimeambatanisha maelezoView attachment 2207618View attachment 2207619
Alikuwa mwenyeji wa wapi huyu marehemu ProfMmoja wa Magavana bora Africa
mmmhIfakara, Morogoro.