Binam zangu woote hapa mmekosa mwaya,heh heh.
Nyingi ndio, ngapi?nyingi
Nyingi ndio, ngapi?
Nduki ehh!!.. Hebu tuletee vitu vya maana tujadili bwana .. Haya mambo ya chemsha bongo darasa la nne hayatusaidii chochote!!..
Njoo na jambo litakaloweza kumsaidia mtu kwenye maisha yake ya kawaida tujadili..
Sio lazima siasa, hata mambo ya kijamii..