Ndo hilo tu uliloona?hadi umri huo hicho tu ndo unachoweza kukitolea maelezo?kitu chenyewe huna ushahidi hata kama ni wife material kweli,haya panda tena ukalete habari za kuaminika
Utajuaje kunguni na chawa kama sio maisha yako ya kila siku!
Mimi sebuleni naangalia marudio Madrid vs Deportivo
Mwenzangu kajambanane uko nje na ndoo ya maji unasubiri foleni yakuoga