pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Kufikia hiyo jana abiria ambao wametumia Madaraka Express, huduma ya treni ambayo ilizinduliwa baada ya reli ya SGR Nairobi Mombasa kukamilika, walifika milioni mbili. Hii ni tofauti na target na mahesabu ambayo wataalamu walipiga wakitabiri kwamba ifikapo Juni 2019 huduma hiyo itakuwa imesafirisha abiria milioni 1.7.
Huduma hiyo imerahisisha sana usafiri wa abiria na mizigo pia kutoka Mombasa kuja Nairobi na Nairobi kwenda Mombasa na imekuwa maarufu sana na abiria kwenye route hiyo.