Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,991 Reaction score 30,188 Nov 1, 2012 #1 Wadau, Kuna tetesi eti Dereva wa Treni inayofanya ruti ya Ubungo~Posta jana alijisahau akadhani ni inaenda Kigoma hivyo akawapeleka huko. Kwa sasa yupo Kigoma na abiria wake wanajiandaa kurudi Dar.. Hizi tetesi zina ukweli??
Wadau, Kuna tetesi eti Dereva wa Treni inayofanya ruti ya Ubungo~Posta jana alijisahau akadhani ni inaenda Kigoma hivyo akawapeleka huko. Kwa sasa yupo Kigoma na abiria wake wanajiandaa kurudi Dar.. Hizi tetesi zina ukweli??
A Aristides Pastory JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 348 Reaction score 60 Nov 1, 2012 #2 Maskini weee.... ndo' wanarudi??