Treni ya kwenda Moshi ipo au imekufa?

Treni ya kwenda Moshi ipo au imekufa?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,127
Reaction score
24,429
Hivi wakuu zile Safari za TRC kwenda Moshi bado zipo?

Haki hii serikali ni Hangaya ni failure kabisa yaani kila mradi umekufa

Cha kusikitisha hatusikiii Tena treni ya kati ikifanya kazi au kujipromote hivi Trc wana akili kweli? Yaani unamiliki biashara halafu haujitangazi?

Yaani wameshindwa hata kusponsor Ads, mabango au kujitangaza kwenye media!!

Hili shirika ningekua rais wangenyongwa wote!!
 
Hivi wakuu zile Safari za TRC kwenda Moshi bado zipo?

Haki hii serikali ni Hangaya ni failure kabisa yaani kila mradi umekufa

Cha kusikitisha hatusikiii Tena treni ya kati ikifanya kazi au kujipromote hivi Trc wana akili kweli?Yaani unamiliki biashara halafu haujitangazi?

Yaani wameshindwa hata kusponsor Ads, mabango au kujitangaza kwenye media!!
 
Kadogosasa yuko bize kila siku kwenye TV akiongelea mafanikio ya SGR,wanasema kipya kinyemi mkuu 😂😂
 
Ipo na ratiba zake
Jumatatu&Ijumaa, saa 8:30,Dar-Moshi-Arusha
Jumanne&Jumamosi,saa 8:30,Arusha - Moshi - Dar
Tangazo hili ni kwa hisani ya MC/DJ Kuku wa Deluxe 2 Train🤔
 
Hujaona CV ya Chief Hangaya ilivyojaa certificate tena za india na Pakistani ambako ukitoa Yes,No na The hawaongei kiingereza tena then utegemee +ve output kwenye serikali yake
 
Hakuna abiria wa kujaza treni kwa miezi ya kawaida wala mizigo, so wanasubiri december, maana wenyeji wa mikoa hiyo (Kilimanjaro na Arusha) wanaenda nyumbani mara moja kwa mwaka. So kwa sasa mafundi wa Trc wanaboresha reli tu haina kazi(White elephant railway). Hongera kwa Morogoro, maana TAZARA wanajaza kuanzia Kisaki, Mangula, Ifakala, Mbingu hadi Mlimba, Mgr Reli ya kati wanajaza mpaka Kimamba Kilosa. SGR Morogoro wanajaza Nne zinapanda Nne zinashuka kuja Dar/Moro. Pia Hongera watani zangu Dodoma, Sgr Dom/Dar inajaza. Watani zangu wachaga badilikeni, bar mnajaza bia kwenye meza lakini treni ya bewa 5 MGR inawashinda?.
 
Zoea tu special hire mkuu ndio habari ya mjini ingaawa usikae mbele hasa wakati huu wa mavunoo
 
Back
Top Bottom