Sheghwede
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 277
- 124
Wakati sisi tukiwa hapa
wenzetu wako hapa
Hivi tatizo ni umasikini au ni matatizo yetu ya kufikiri? Maana hii sio tu huduma, bali ni biashara, tena biashara yenye manufaa kwa taifa na raia.
Mfano, kwa basi sasa kutoka Dar kwenda Dom ni masaa 7 hadi nane, wakati Dar - Arusha ni masaa nane hadi tisa. Kwa usafiri wa treni za kisasa Dar - Dom ingechukua 2hrs na Dar - Arusha ingechukua 2.5hrs.
Mimi nafkiri inawezekana, tuache EXCUSE ya umasikini, tufikiri sawasawa, umasikini tunautengeneza wenyewe sasa.