brilliant idea,ni kweli na itatusaidia sana kiuchumi...ila naomba ufafanuzi kwanini watanzania tunawaendekeza sana wachina,au sababu ya unafuu wao wa bei?..kuna nchi nyingine nyingi zinazoweza kufanya na sisi program za maendeleo na tukawa mbali sana,why don't we think kufanya partnership na scandinavian countries au Russia kwa project kubwa kama hizi,kuna nchi kama brazil na venezuela...wana very good railway systems....hata kubinafsisha route naona itakuwa very effiecient,,,kwa mfano.route ya Dar-Dodoma apewe mfanyabiashara wa uhakika,ambaye kwa mwaka anatakiwa awakilishe kiasi fulani kwa serikali,tuseme Billion 1.Dar-Arusha apewe operator mwingine,Dodoma Kigoma Mwingine,,,mbona tutafika tu! tena at a very high pace....mimi naamini sana in privatization of resources,maana mwenye mradi hatataka apate hasara na atakuwa very serious,ila katika ubinafsishaji huu,kuwe na very clear terms and policies kwa hawa wawekezaji na inufaishe watanzania zaidi in terms of number of people employed,tax paid to the government..It is very possible when the right people are given opportunities at the right time,kuna a lot of Tanzanians na proffessions zao,and they are very good at what they do,hawapewi nafasi,ndio maana wanakimbilia nchi za watu.....nimemaliza.