The Masterpiece
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 564
- 1,566
Bei kali huwezi kununua ukiwa na jelo la kuzuga, hili treni kulipata labda kwenye belo la mitumba
Mkuu usihofu tumebadilisha engine haili sana mafutaningenunua...tatizo izi model zinakunywa sana mafuta
Unaweka tu reli unapita mkuu, hii ni affordable zaidi kuliko mwendokasiVp Naweza kupita nayo pale kariakoo
Sent from my SM-A105G using Tapatalk
Karibu mkuu, hii machine ni version ya mjerumani. Iko poa kabisa.Tunapeleka kokote bure kwa Dar
Mikoani pia tunatuma
Bei inaongeleka.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji44][emoji44][emoji44][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
Bei inaongeleka chifu njoo tu pmBei kali huwezi kununua ukiwa na jelo la kuzuga, hili treni kulipata labda kwenye belo la mitumba
Karibu mkuu, hii machine ni version ya mjerumani. Iko poa kabisa.
Inafaa hasa kwa uchumi wetu wa viwanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa haaa haaaOk ila hapo uliposema mnapeleka popote mmeniacha hoi.. Yani hata kama hakuna njia yake mnapeleka? BTW sidhani kama China bado kuna hizo version... Anyway ni biashara... Wahitaji watakuja
Jr[emoji769]
Inazungumzika mkuu, hata 950m tunaweza kuiuza ila reli utajengawa gharama zakoBei sawa na bure 1 billion [emoji44]