Nkwama welding
Member
- Oct 2, 2011
- 61
- 12
Nipo naendelea kusubiri robo Tatu ya abiria waliokuwepo wamerudi kupanda mabasi.Poleni, endelea kusubiri maana linarudi
Mwanzo mgumu. tukijipanga vizuri changamoto kama hii tutazikabili.
Kwani linauwezo wa kuchukua abiria wangapi kwa Waikati mmoja.?
Lakini pia naona gharama zitarudi haraka!! kwani ziko ngapi katika kila njia?
Kwani linauwezo wa kuchukua abiria wangapi kwa Waikati mmoja.?
Hii ni changamoto nyepesi kwa hatua alikofikia. Nashauri waite mabehewa yalikuwa yanafanya safari za mwanza ili kuongeza nguvu wakati wa asubuhi na jioni walau behewa 10 hadi 12. Ni mwanzo mzuri sana Mwakyembe
Watu 1000 wachache sana. dar ina wakazi million 5