Treni Imeanza Kazi Dar Es Salaam (Dar Subway)

Nimepanda train hiyo leo asubuhi kutoka mwakanga nikifikiri itanifikisha posta kumbe yaishia Tazara na nikaona mapungufu yafuatayo:

(1) Hakukukua na PA system kuwatangazia abiria vituo na habari mbalimbali zihusuzo safari hiyo
(2) Ticket zilikuwa kidogo zikaisha hivyo jamaa wakakusanya pesa bila kutoa ticket na watu wengi waliopanda vituo vilivyofuata hawakulipa (jamaa wakawambia wakubwa wao hawajakusanya pesa cause hakuna ticket kumbe ulaji tayari)
(3) Train kuishia Tazara bila connection ya mjini(tatizo la usafiri litaanzia tena hapo to town)
(4) Vituo havijaisha na hakuna alama muhimu za kuongoza watu na magari-kuzifikia ngazi ni vigumu hasa wazee, wakinamama na watoto.

My take tulihitaji muda zaidi kucorrect vitu muhimu kama tickets, time table and connections, vituo n.k
By the way mabehewa yako poa heko to Tazara shop staff na vifaa vya mchina.
 
6345252-Regional_train_in_Luxembourg_Luxembourg.jpg


6345248-Luxembourg_train_station_Luxembourg.jpg



4174104-BUS_TOFROM_THE_AIRPORT_Luxembourg.jpg


4174125-VELO_BICYCLES_FOR_LITTLE_OR_FREE_Luxembourg.jpg



4174132-VELO_BICYCLES_FOR_LITTLE_OR_FREE_Luxembourg.jpg



3284398-Hop_on_Hop_off_bus_Luxembourg.jpg


2490254-Platform_3_Luxembourg_Station_Luxembourg.jpg


2483459-Luxembourg_City_bus_Luxembourg.jpg

2106905-Train_is_Easy_Luxembourg.jpg



2032502-LUXEMBOURG_TRAIN_STATION_Luxembourg.jpg



2033174-LUXEMBOURG_TRAIN_BRIDGE_Luxembourg.jpg



2033186-LUXEMBOURG_TRAIN_BRIDGE_Luxembourg.jpg

2531665-Luxembourg_Train_Station_Luxembourg.jpg


Mkuu Mbuzi Mzee bado ajitahidi wazir Dr Mwakyembe Kutengeneza Madaraja na Mabarabara makubwa High Way ndio mji utakuwa unaunafuu wa usafiri hapo mlipofikia Wabongo ndio mwanzo tunataka maendeleo jamani sio kuridhika na hicho mlichokipata kidogo...........................
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom