Tatizo la hawa watoto ni kukosa uangalizi wa karibu, baba akitoka saa kumi na moja alfajiri anarudi saa tano na nusu usiku.
Mama naye akitoka kazini akiingia tu ndani, anakutana na majukumu ya nyumbani,
muda wote watoto wapo wenyewe na kiongozi wao ndugu TV akisaidiwa na wenzake facebook na simu za mkononi.Hamna wa kwenda shulenui kufuatilia maendeleo yao mara kwa mara, hamna anayekagua madaftari, yaani wanaishi kama kunguru wa Zanziberi.
Mzazi anachojua ni kulipa ada tu, sasa matokeo yakitoka ndipo hapo mzazi hamaki inapokukumba, lahaula bakwata kijitoto changu kime score channel O ileile kiliyokuwa kikipenda kuiangalia kwenye DSTV