Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,175
- 12,993
Wanaleta shangwe barabarani, msisafiri kinyongeNi Nini?
Mbona mimi sijawaona hao vijana barabarani na ninaendesha kila siku au mmagari binafsi unamaanisha nini?Unawakuta barabarani wanapungia mikono sijui wanafanyeje Kwa mabasi ya mikoani ama magari binafsi,then yule dereva nae anamulika mataa kama ana-blink.
Ni Nini?
ni gari za mkoani na ni mbezi 😀😀😀😀😀😀Mbona mimi sijawaona hao vijana barabarani na ninaendesha kila siku au mmagari binafsi unamaanisha nini?
Au mimi ndio sijaelewa?
Ni hivyo tuWanaleta shangwe barabarani, msisafiri kinyonge
Hivi mkuu hata umeelewa nlichouliza
Kama unaendesha gari za kawaida huwezi kuwaonaMbona mimi sijawaona hao vijana barabarani na ninaendesha kila siku au mmagari binafsi unamaanisha nini?
😄😄Au mimi ndio sijaelewa?
Duh hapo sawaKama unaendesha gari za kawaida huwezi kuwaona
Ila kama unaendesha range Rover,G wagon na mengine utawaona
Na zaidi mabus ya mikoani na mwendokasi
NimeelewaHivi mkuu hata umeelewa nlichouliza