Trekta la kukodi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Trekta la kukodi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sally, Jun 21, 2011.

 1. S

  Sally Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa anayejua sehemu wanapokodisha matrekta ya kukodi Dar es salaam au bagamoyo naomba contact zao
   
 2. BUNGE

  BUNGE Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bado unahitaji?
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Toa kazi sally unakodisha kwa ajili ya kazi gani ? unahitaji lenye uwezo upi na terms unazo offer ni kiasi gani? Huu ni msimu wa kilimo ni ngumu kupata lakini hiyo pia inaaangalia wewe una offa nini na kazi inayofanywa itachukua muda gani
   
 4. S

  Sally Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bado nahitaji trekta la kukodi jamani wapi naweza kupata
   
 5. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ni PM nikuelekeze
   
 6. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nami ninahitaji kukodi trekta eneo la Kiromo. Napenda kujua gharama
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Maverick, Sally

  Toeni details zaidi ama mni PM

  Mkionyesha ukubwa wa kazi na wapi yalipo mashamba!
   
 8. J

  John Deer Member

  #8
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sally mpigie mwenye no 0766515151...utapata trekta!!
   
 9. Bize Bize

  Bize Bize Member

  #9
  Aug 1, 2015
  Joined: Nov 27, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa wale wakulima wenye ekari za kutosha maeneo kuanzia Mkuranga, Mwarusembe, Kimanzichana ya Mkiu, Mkamba nk hadi maeneo ya Ikwiriri na Rufiji.... mkombozi kapatikana sasa. Ile hofu ya kulima kwa muda muafaka imepata jawabu!!
  Tumeleta trekta linalofaa kupambana kwa kazi maeneo hayo, hili FORD 7500.
  Bei zetu ni nzuri zipo baina ya Tshs. 40,000/= hadi 60,000/= kulingana na umbali.

  Kwa mawasiliano:
  1. 0787519910 na 0767519910... Tutakujibu kwa sms na whatsapp!
  2. Email: moddyguyz@yahoo.com
  Sisi tupo Kimanzichana ya Mkwechembe; kama kilometa tatu kutoka Kimanzichana getini....
   
Loading...