Travel and Living expenses in UK

5m ni kama £1800. Return ticket kama £700. Umebakiwa na £1100. Kama unapanga kufikia London rent for a room per week £75 two weeks £150 umebakiwa na £950.

Chakula cheap £10 per day two weeks approx £150 unabakiwa na £800. Nauli ya train London-Manchester £100 ukipanda bus haizidi £20 ila utatumia masaa tisa badala ya matatu.

In short 5m for two weeks inakutosha.
 
alright.. Thank u kiongozi

Umesema return ticket ni £700 hujanitajia ni airline ipi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom