TRAVEL AGENT - ATCL

Ninatafuta Travel Agent wa ATCL kuhusiana na dili lifuatalo;-

Kuna watu 6 wanatakiwa kusafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza, go and return, watu hao wamepewa offer ya kutumia ndege ila wao wanataka kusafiri kwa kutumia gari ili ile balance inayobaki iwasapoti kwa mambo mengine.

Sasa kinachohitajika ni agreement kati ya pande hizi mbili, kwamba ticket ziwe booked, tax invoice ikiambatana na ticket za mwanzo ziandaliwe kwa ajili ya malipo, malipo yakishafanyika zile ticket zitakuwa cancelled na wahusika warudishiwe hela yao, gharama ya hilo zoezi wanatoa offer ya 10% ya kiasi husika.

NOTE: Malipo yanafanyika kwa cheque, kampuni husika itatakiwa kuwa na ac ambayo inafanana na jina la kampuni, EFD receipt itahitajika pia.

Kwa yeyote ambaye anaona dili hili anaweza kulifanya na ana uhakika wa kulifanya on urgent basis tuwasiliane PM kwa maelezo zaidi.

Dili linahitaji uaminifu zaidi.
Wewe ni mwizi unatakiwa kukamatwa haraka sana. Husomi upepo madili yamepitwa na wakati
 
Back
Top Bottom