Ukisha rasmisha huyo nyumba ndogo ndipo utaomba dunia ipasuke. Wanawake huwa hawaridhiki hapo anatafuta uhalali, akiupata anataka atambulike kwa ndugu zako rasmi, akifanikiwa anakuja kwa mkeo maana atataka mkeo ajue wapo wawili; kifuatacho atataka umpige kibuti ili abaki peke yake. Hivi unajua nani wataathirika zaidi? Jibu ni kuwa ni watoto wako. Kama una mabinti hao sahau. Piga nje ila usioe ndugu yangu yakakufika yetu! NdukiSiamini kwenye limbwata mkuu. Ninachoamini kuna wanawake wengine watamu sana na pia ni warembo. Ukikuta mtoto mrembo halafu ni mtamu pia sio mchoyo kukupatia basi hilo ndio limbwata unalolisema.
Nilishapoa ndugu, ila huwa kuna mambo nikiyaona huwa naghafirika sana. Ujue kujitoa kwa mtu ukiwa huna au una kidogo ila unaona wacha apate yeye kwanza angalau asijeweweseka na wenye navyo na mipango kede kede kumbe mtu huku pembeni ana mipango yake tofauti juu ya hicho mnachokipanga kila siku mkiwa wawili.mkuu hi comment umeitoa kwa jazba Sana .
Pole kwa kilichokukuta huo mwaka.
Pole kwa changamoto my dear.Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Kama ameweza kumsaliti mkewe aliyempenda kabla yako na kumuoa basi ujue siku zako za kulia na kusaga meno zinakuja, atapata chombo kipya na kukukimbia tena! Siyo mume huyo.Naomba tu niseme kuna wakati kwenye maisha huwa hatutegemei baadhi ya mambo yatutokee ila inabidi tukubaliane na hali halisi
Najua humu kuna watu tunajuana nao personally kiundani sana and am sorry if my confession will dissapoint you in anyway.
Back to my story 2015 nilikutana na huyu kaka tukawa marafiki na baadae tukawa wapenzi lakini aliniambia ameoa,
kipindi hicho I was so young and naive nilikuwa chuo kwakweli nakubali nilikuwa sijielewi,mahusiano yetu tuliendelea kwa miaka miwili mpaka baadae tulipoachana kwa sababu fulani.
Kipindi tulipo achana hakuacha kunitafuta meseji za hapa na pale hapo hatukuwa tukionana.Kwakweli sijawahi kutoka na mume wa mtu zaidi ya huyu na nilijisemea sitorudia tena kwaio nilisimama kwenye huo msimamo.
Fast foward this year tulionana alikuja kikazi mji niliopo tukaanza kuwa karibu tena na kwa sasa niseme ni wapenzi tena.
Kitu kinachofanya nije hapa kuomba ushauri ni kwamba huyu bwana anataka kunioa,we have this connection ni ngumu sana kuelezea jamani hiki kitu kimeniacha njia panda,anataka tuoane na nimzalie mtoto,anataka kuja nyumbani kujitambulisha afate process zote. Plan yake tufunge ndoa kisiri mimi yeye na watu wa karibu kama familia.
The future is promising amejicomit kuhusu mambo mengi na hili linazidi kuniogopesha.
Kitu cha ajabu nimeanza kulifikiria hili jambo in a serious way maana sikuwa na mpango nae lakini huku tunapoelekea mambo yanazidi kuwa magumu. Tumepanga apartment huku tukianza ujenzi wa nyumba,na ana plan kuhamia mji niliopo na kuiacha familia yake mji mwingine
Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu.
To be honest wote wawili nawapenda,nimeshindwa kujigawa au kufanya maamuzi.
Najiuliza hivi mume wa mtu anaweza kupenda tena nje kama hivi? Wanaume mliooa natamani nipate comment zenu pia kwa experience ya haya mambo.
Am still young in my late 20’s ambitious and the future is still so promising
Ukipata nafasi ya kunishauri ungenishauri nini?
Unaweza kuniita majina yote lakini ni maoni yako nitayapokea
PS: Huyu mume wa mtu sijatumia nguvu yoyote juu yake ni maamuzi yake ya hiari na akili zake timamu
Hili povu vepeeeeeh? LolCariha umalaya umekupofusha , na ww ni mkristo wa kuzaliwa ila majini ya kishetani ndio yalikutawala moyo wako na bora unyamaze kimya kuliko kuendelea kupotosha watu.
Mada zako zote unashadidia usingle mother , ubinafsi , kuchepuka , kudanga , kuwa huru , unasema wewe mkristo na unaongozwa na ndoa ya kikristo unalijua neno la Mungu wewe ?
Neno la Mungu linasema huna haki wala uhuru kwa mwili wako unapoolewa au kuoa , kwenye ndoa mke ni mume ndiye aliyeshika uhuru wako na mume ni mke ndiye aliyeshika uhuru wako , sasa nyie akina cariha kizazi kilichopotea kwa kukosa malezi na kuongozwa na tamaa zenu mmekuwa mstari wa mbele kupinga mpango wa Mungu aliounzisha kuhusu ndoa , mmejawa na mafundisho ya kishetani ni wepesi kutoa ushauri wa kishetani kama unavyomshauri binti huyu ambaye naye nafsi yake inaongozwa na tamaa kali inayozidi hata kweli na hofu ya Mungu .
Wanawake wote wanaofanikiwa kujenga ndoa ni wale wanaomtegemea Mungu kwa kufuata kweli ya neno la Mungu kwani mwanamke ( Hawa) ndiye aliyedanganywa na shetani na si mwanaume mpaka dhambi na mauti ikaingia ulimwenguni , wanawake wanaojitambua wanajua hilo na hupingana na shetani usiku na mchana na wengi wao ndio hao wenye ndoa imara , watoto wenye malezi bora na watoto wao huwa baraka katika jamii , akina cariha mkae mkijua hamtaweza kamwe kumshinda Mungu katika mipango yake, lakini Mungu atabaki kuwa Mungu wamwaminio wapo na nyie mnaomwamini shetani kwa mgongo wa ukristo wa kuzaliwa endeleenj na maisha yenu ya kipagani.
Hamjachelewa kumbukeni kumrudia Mungu kabla hamjaswaliwa , saidieni jamii sio kuipotosha .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooh lol"Meanwhile upande wa pili kuna kaka ambae hajaoa anataka kuja kutoa mahali,well paying job we have a connection lakini hajafika level za yule mume wa mtu"
Vijana wenzangu tutafute hela tu si mmeona kinachoendelea.
Duuuuh poleeee San, maan umeongea kwa jazba mnooh.Qmamamae, halafu kuna Mpumbafu mmoja huko anataka Kumjua Mwanamke!? Tangu linitokee tukio langu tarehe 25/07/2012, taabu niliyoipitia, uchungu nilioukwaa, kejeli nilizozipata. Hakika sitotaka wala kutamani kumjua tena. Wewe dada fanya unavyojisikia tu, kwani Mbunye si yako bana
Nikitaka kuoa, naomba nikuweke katika list kama utakua bado single, mama mchungaji. Heaven SentKwa hiyo ukishafikisha wake nne ndo unaridhika na hautopenda tena?
Point of correction: unaposema wanaume wote hawaridhiki, jisemee wewe na nafsi yako. Wapo wanaume wa mke mmoja na wametulia na wake zao, na wana pesa na nguvu pia. Kuridhika ni uamuzi binafsi; wapo wenye wanawake watano+ na bado hawaridhiki.
Ndo hvo mkuu,hasa kakiwa kametoka kuoga ile usiku wakat wa kulala ngoz zenu znapogusana unajihis tofaut sana tofaut na unapokuwa na mwanamke mkubwa😅😅😅kwaiyo vinashawishi kuoa kisirisiri.
Aisee kumuacha siwezi
Bado sijapata mtu kama yeye,kwasababu hii sio mada yake ndio maana sijapata nafasi ya kumuelezea.Kama ningekuwa simpendi huu uzi usingekuwa hapa ninge jilipua na huyu jamaa mwenye mke
Muache tu[emoji23][emoji23][emoji23] au kitamkuta kile cha yule dada wa Moshikesho kutwa atatafuta mwingine wa kuoa baada ya wewe kulogwa na mke wake wa kwanza
[emoji2][emoji2]Wewe bana sikiliza..!
Kwanza, wengi wanaojidai kukushangaa hapa hasa wanawake, wao wenyewe wanatembea na waume za watu!!
Pili kama ulivyosema wewe, maisha ni mafupi haya, wanaosema ooh vumilia sijui usiipe nafasi furaha ya muda mfupi... wee usiwasikilize hao wana stress zao. Bora furaha ya muda mfupi kuliko kukosa kabisa furaha. Hakuna zawadi utakayopewa kwa kuishi maisha ya tabu. Maisha ni hayahaya usipoenjoy sasahivi ndio basi tena.
Ushauri: We chakufanya, olewa na hako kakijana kanakokupenda ila usiachane na yule mume wa mtu. Badala ya kufunga ndoa kisirisiri ambapo itakulazimu kuachana na yule kijana, wewe olewa na kijana huku ukiendelea kumfaidi mume wa mtu. Nina uhakika mume wa mtu hatakua na pingamizi katika hilo. Hii itakua ni win win situesheni.