Nataka nijifunze hii biashara niifanye kama individual sina kampuni. Unaweza nisaidia ABCs?Umepata mkuu?
Sina details sana ila nitakueleza kwa uchache kwa nnavyojua.Nataka nijifunze hii biashara niifanye kama individual sina kampuni. Unaweza nisaidia ABCs?
Ok nimekuelewa. Vipi tusio na mitaji ila tunaweza kutafuta network, tunaweza kuwa mawinga au madalali?Sina details sana ila nitakueleza kwa uchache kwa nnavyojua.
Hii biashara ya transportation kama unataka kufanya as a transporter ni vizuri ukawa na malori ya kubebea mizigo na ni lazima uwe umesajiliwa kwenye chama chao.
Kazi yako inakuwa ni kusafirisha mizigo ndani na nje ya nchi kwa gharama unaoona ina faida kwako. Ni biashara nzuri ila ina changamoto zake kwenye uendeshaji na usimamizi..
Inawezekana ila uwe na connection ya uhakika ya transporter na wateja.Ok nimekuelewa. Vipi tusio na mitaji ila tunaweza kutafuta network, tunaweza kuwa mawinga au madalali?
Noted, shukrani mkuu.Inawezekana ila uwe na connection ya uhakika ya transporter na wateja.