Habarini za kazi,
Jana nilienda kufanya service kwenye kababy walker kangu. Baada ya service ya kawaida (kubadili oil, greasing n.k) fundi akaangalia transmission fluid (ni ya toyota ATF Type IV) akanishauri nisikae sana niibadili (ina km 65000 kwasasa, sijawahi kubadili hata mara moja).
Katika ushauri wake akaniambia nibadili na transmission filter. Sasa hapa nikabaki naduwaa maana sikuwahi kusikia kuhusu hii filter ikizungumziwa, hata madukani nakonunua spea huwa wanatuelekeza lakini hii sikuwahi kuisikia pia(nina imani tupo wengi tusiojua hilu).
Mwenye uelewa kuhusu hii atupe elimu please