Transmission filter

mpwisa

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
216
251
Habarini za kazi,

Jana nilienda kufanya service kwenye kababy walker kangu. Baada ya service ya kawaida (kubadili oil, greasing n.k) fundi akaangalia transmission fluid (ni ya toyota ATF Type IV) akanishauri nisikae sana niibadili (ina km 65000 kwasasa, sijawahi kubadili hata mara moja).

Katika ushauri wake akaniambia nibadili na transmission filter. Sasa hapa nikabaki naduwaa maana sikuwahi kusikia kuhusu hii filter ikizungumziwa, hata madukani nakonunua spea huwa wanatuelekeza lakini hii sikuwahi kuisikia pia(nina imani tupo wengi tusiojua hilu).

Mwenye uelewa kuhusu hii atupe elimu please
 
Ipo ndani ya sample ya gear box, ibadili tu maana cjui kama una service history ya hiyo gari kama gharama itakushinda au haina physical demage huwa ina namna inaoshwa tu na petrol, kitendo cha kufungua gearbox oil sample ni moja ya service ya gearbox.
 
Asante sana mkuu umenifungua macho
Hii inafanyika kila baada ya kilomita/muda gani??
 
Sijui kama kuna muongozo sahihi, mimi niliifanya baada ya kuona gari inakuwa nzito ilikuwa ni baada ya kukaa nayo miaka mitano na kumwaga gearbox oil mara kadhaa, baada ya pale gari ilikuwa nyepesi sana, ukimwaga oil vila kawaida huwa kuna inayobaki kwenye sample so kama kuna uchafu bas unabaki kwenye sample na unachanganyika na oil mpya
 
Ubarikiwe mkuu kwa maarifa uliyonipa. Idumu Jf
 
Back
Top Bottom