Translator wa kichina anahitajika

Damalu

Senior Member
Joined
Jul 26, 2009
Posts
120
Reaction score
63
Ming yong investment inatafuta transalotor wanaoweka kuongea kichina
kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa no
0758768855
tafadhali msinishambulie me ni mjumbe tuu namsaidia rafiki yangu wa kichina kupata translator sor if u can please contact me
 

'aisee wee ni mchina,mzungu,muhindi au mswahili......................kwa maana umejishuku eti oooh tusikushambulie hapa hatukushambulii tunakuweka sawa tu kuna tatizo kwani,hebu rekebisha hapo kwenye nyekundu halaf useme kazi iko sehem gani,wanahitajika wangapi,mda wa kazi ukoje,vigezo na masharti yao yako vipi aidha atahitajika refa au hapana let say mfanyakazi akaiba na kuondoka mtahitaji awe na refarii au hapana,deadline ni lini na ikiwezekana weka na malipo pia sio unakuja nusu nusu na kijitangazo aisee usiweke kijitangazo weka tangazo bwana unabana na kuyafinya finya maneno kwani umeambiwa unalipia humu,ivishe nyama skeleton ya kijitangazo chako aisee usitufungulishe swaumu yetu bureee,araaaaa'
 
Nduki unafurahisha sana
Me sijamaanisha unishambulie kwa kunikosoa,,,, me siogopi kukosolewa kwani ndio mwanzo wa kujifunza na kufanya kosa ni njia ya kujifunza
Me nimeweka hapo kwa maelezo atapiga simu mtu aliyoko interested na kufanya na hao watu
Kama hukuwahi kufanya au kusikia system ya wachina as long unafit kwenye matakwa yako wanaridhika hahitaji refarii wala introducer so plz maneno mengi hayana maana point is chinese translator anahitajika kama kunaqualification zaidi ya yeye kujua kichina zingeandikwa hapo uwe STD VII au PHD as long unajua kichina inatosha kuwasiliana na mhusika
 
nyioh maana yake mambo vipi...tschetsche = asante nipe job mkuu
 
Nenda pale hospitali ya wachina Sinza Mapambano utawakuta watanzania wanaofanya hiyo kazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…