Ningependa kufahamu kama kuna mwanajamvi amewahi kupitia Italy bila transit VISA.Nataka ninunue tiketi online lakini sina uhakika iwapo nitahitaji nitahitaji hii VISA au la.Pia naomba kujua kama mtu amewahi kukata ticket hapa www.kiwi.com
Transit VISA kwenda Tanzania mkuu.Hii KAYAK inakuwa inanidirect kwenda kiwi muda wote ndio maana nikasema ni kiwi.Kwa hiyo hii kayak haijawahi kukuzingua bwana Manizzle?