king'amuzi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 614
- 225
Acha TBC IUNGUE, TBCCM swainTransfoma kubwa imelipuka eneo la kituo cha utangazaji TBC moto mkubwa unawaka na baadhi ya majengo ya TBC yanawaka moto
SOURCE: ITV BREAKING NEWS
Nasikia si jengo la TBC bali la Star Times. Jamani uchuro wa kushangilia maafa uachwe!