Mshambuliaji Gonzalo Higuain ametua Napoli kwa dau la £34.5m, mkataba wa miaka 5.
Nao ni usajili piaTakriban siku 40 kabla ya msimu mpya wa EPL kuanza timu zote kubwa zimeshaanza kufanya usajili wa nguvu, ...kasoro ARSENAL tu! Alichofanya mzee Wenger hadi sasa ni kumchukua kinda mfaransa Yaya Sanogo (free transfer)
Kwa usajili wa sasa ulivyo paundi mil 34 ni pesa ndogo na ukumbuke Napoli wamemuuza Cavani paundi mil 55hawa jamaa wamejiingiza kichwakichwa wamebabuliwa haiwezekani mchezaji wa bench akauzwa kwa kiasi hicho,mtu mwenyewe wa kusimama atengenezewe loh..!
Kwa usajili wa sasa ulivyo paundi mil 34 ni pesa ndogo na ukumbuke Napoli wamemuuza Cavani paundi mil 55
Caroll alinunuliwa 35,Torres 50,Berbatov 30,Falcao 60,Suarez Liverpool wanataka 50
Kumbuka Higuan ndiyo alikuwa mfungaji wa Madrid,ujio wa CR7 ndio umemfanya akawa anawekwa benchi,katika mechi 187 amefunga magoli 107 akiwa Real Madrid.
Acha ukuda wewee!Tayari yupo kwao Spain.
Real Madrid wanajiandaa kumng'oa Gareth Bake kwa dili la kufa mtu la £95m.
Dili hilo linajumuisha kitita cha £51m, pamoja na wachezaji Angel Di Maria na mlinzi Fabio Coentrao kwenda Tottenham.