hayo maneno wamemnukuu mwenyewe au habari za tetesi za magazeti?Luis Suarez amesema HANA MPANGO wa kuomba msamaha, na hategemei kurudi tena Anfield msimu ujao.
hayo maneno wamemnukuu mwenyewe au habari za tetesi za magazeti?Luis Suarez amesema HANA MPANGO wa kuomba msamaha, na hategemei kurudi tena Anfield msimu ujao.
Kocha Arsene Wenger amesema sasa wapenzi wa Arsenal wategemee MAMBO MAKUBWA ndani ya siku 12 zijazo. Dirisha la usajili litafungwa tarehe 02 Septemba.
Victor Moses ameshaenda Liverpool jana alikuwa uwanjani na akina Kolo Toure na Sokho alisajiliwa kutoka PSG,ila Surprise ya Wenger sijui itakuwa ni Rooney maana haya mambo ya kuumia kichwa hatujawahi ona tusubiri tuone Babu Wenger atatupa nani safari hii !- Juan Mata, Miguel Michu, Kaka na Draxler ni majina yanayoonekana sana kwenye mawasiliano ya usiku huu.
- Victor Moses huenda akatua Liverpool au Everton hadi kufikia kesho.