Transfer Window updates 2013/2014 season - Europe

Transfer Window updates 2013/2014 season - Europe

Monaco wameahidi kuendeleza UBABE katika soko la usajili, wanapanga kumwaga dau la £7m kumnyakua John Terry (32) kutoka Chelsea.
 
ManUtd inajipanga kuwaruhusu kuondoka au kuwatema wachezaji 7: Nani, Evra (32), Ashley Young (27), Anderson (25), Federico Macheda, Bebe na Lindegaard.
 
kocha Roberto Mancini hana mpango wa kuondoka England. Anatafuta timu nyingine ndani ya EPL ili kudhihirisha uwezo wake.
 
Juan Mata anahitajika Real Madrid kwa dau la £21m. chelsea wanasema haondoki bila £30m.
 
Mshambuliaji wa AC Milan Stephan El Shaarawy anawindwa na ManCity katika uhamisho wa kubadilishana na Carlos Tevez kwenda AC Milan.
 
Kocha wa Spurs Andre Villas-Boas sasa anawindwa na PSG kwa dau la £40m. Hii ni baada ya PSG kuwakosa Guus Hiddink, na Mourinho, huku Carlo Ancelotti akiwa njiani kulekea Real Madrid.
 
Barcelona have held talks with Chelsea over a £20million deal for Fernando Torres.
The Spain international has emerged as a target for Barca who are on the lookout for another striker as part of plans to overhaul their forward line.
Neymar has already arrived from Santos in a £52million transfer, while David Villa and Alexis Sanchez are expected to depart before the start of the season.
That will clear the way for manager Tito Vilanova to pounce for former Liverpool striker Torres, with a centre forward a priority.
Source:METRO SPORT
 
Cesc Fabregas amesema hana mpango wowote wa kuondoka Barcelona, na wala hajawahi kufikiria hilo.
 
Andy Carroll ametua rasmi Westham baada ya kuichezea kwa mkopo msimu uliopita.
 
Nicolas Anelka (34) huenda akarudi EPL akikamilisha dili la kuhamia West Brom akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake Juventus..
 
Nicolas Anelka (34) huenda akarudi EPL akikamilisha dili la kuhamia West Brom akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake Juventus..

Nicolas anelka au Nicklas bendtner????......anelka hayupo juve
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom