Transfer Window updates 2013/2014 season - Europe

Transfer Window updates 2013/2014 season - Europe

Jose Mourinho sasa ndio kocha mpya wa Chelsea kwa mkataba MNONO wa miaka 4, kwa dau la £8.5m kwa mwaka. Mourinho atakuwa kocha ghali kuliko wote katika historia ya EPL.
...THE SPECIAL ONE!!!

Source Mkuu??
 
Edinson Cavani wa Napoli anawaniwa na Real Madrid na ManCity kwa dau la £60m.
 
Marouane Fellaini kutua ManUtd kwa dau la £24m
 
Fabrigas nini kimemkumba? Alidhani mafanikio ni kulala na kuamka then ufbnikiwe
 
Fabrigas nini kimemkumba? Alidhani mafanikio ni kulala na kuamka then ufbnikiwe?!!!
 
Roberto Martinez huenda akatua Everton baada ya kuruhusiwa kuondoka Wigan.
 
Michael Essien atarudi Chelsea pamoja na Mourinho.
 
Frank Rijkaard na Clarence Seedorf wanachuana kuwania ukocha wa AC Milan
 
Real Madrid bado wanamwinda Gareth Bale kwa dau la £45m.
 
Kolo Toure anaelekea Liverpool, free transfer.
 
Romelu Lukaku (20) sasa anarudi Chelsea baada ya kuthibitishiwa na Mourinho kwamba atapewa nafasi ya kucheza na kuonesha kipaji chake ili achaguliwe kuichezea timu ya taifa lake, Ubelgiji.
Lukaku.JPG
 
Liverpool imesema Luis Suarez HAENDI POPOTE.
 
Tottenham wapo tayari kuwatema William Gallas, Emmanuel Adebayor, Assou-Ekotto, Tom Huddlestone na wengine ili kupata fedha za kumbakiza Gareth Bale.
 
Kocha wa Bayern Munich anayeondoka Juup Heynckes huenda akatua Real Madrid endapo Carlo Ancelotti atabaki PSG.
 
julio kuinoa benfica ya ureno...kaseja kwenda borrusia kwa mkopo
 
hatimaye Radamel Falcao ameshatua Monaco kwa dau la £50m.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom