chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,207
- 312
Huyo Messi ataozea hapo barca hakuna club inayoweza kutoa £340m labda kama angekuwa ana uwezo wa kucheza peke yake uwanjani dhidi ya wapinzani 11 na kushinda gemu!!
Huyu hajatua tu Arsenal?
nani huyu
Sio kuchana nyavu tu, hata kung'ata watu anajua. Chezea Suarez wewe.Suarez na Barca mmmmh hapa naona ni noma sana jamaa anajua kuchana nyavu