Transfer Window 2014/2015, Special thread

Transfer Window 2014/2015, Special thread

We acha tu kama hawatakumbwa na majeruhi basi ngome za timu mbali mbali kwenye ligi ya Spain na UEFA zitapata mateso makubwa sana katika kuizuia hii safu ya mashambulizi isizione nyavu zao, kazi ambayo haitakuwa rahisi hata kidogo.

Itatisha mno bale, rodriguez, ronaldo, di-maria, nane kroos.. mmh huo mziki si mchezo..
 
Messi considered Arsenal move
Source: Daily Express
Wednesday, July 23, 2014 00:09
Barcelona forward Lionel Messi considered a
move to Arsenal two months ago. The
Argentine discussed a possible move to the
Gunners with Cesc Fabregas in May as he is a
big fan of Arsene Wenger.
 
Messi considered Arsenal move
Source: Daily Express
Wednesday, July 23, 2014 00:09
Barcelona forward Lionel Messi considered a
move to Arsenal two months ago. The
Argentine discussed a possible move to the
Gunners with Cesc Fabregas in May as he is a
big fan of Arsene Wenger.

Angeenda bure ama?
 
We acha tu kama hawatakumbwa na majeruhi basi ngome za timu mbali mbali kwenye ligi ya Spain na UEFA zitapata mateso makubwa sana katika kuizuia hii safu ya mashambulizi isizione nyavu zao, kazi ambayo haitakuwa rahisi hata kidogo.
Kweli mkuu maana mtu kama bale mwenyewe peke yake ni shida mziki wake..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
drogba-signs.img.png

Drogba signs


NEWS
Chelsea Football Club is delighted to announce the return of Didier Drobga. The striker has signed a one-year contract.

Drogba of course needs no introduction.
When he came to the end of his previous contract in 2012 it was only weeks after he had stroked the ball from the penalty spot into the Bayern Munich net to place Chelsea on top of the European summit for the first time.

His earlier equalising header in that Champions League final was his 157th goal in 341 appearances, a total placing him fourth in the club's all-time highest-scorer list.

On signing his contract, Drogba said: ‘It was an easy decision - I couldn't turn down the opportunity to work with Jose again. Everyone knows the special relationship I have with this club and it has always felt like home to me.

‘My desire to win is still the same and I look forward to the opportunity to help this team. I am excited for this next chapter of my career.'

Jose Mourinho said: ‘He's coming because he's one of the best strikers in Europe. I know his personality very well and I know if he comes back he's not protected by history or what he's done for this club previously. He is coming with the mentality to make more history.'

His 34 goals in European competition remains a Chelsea record, as do his nine strikes in nine cup finals.

During the Ivorian's first eight years with the club, Drogba won three Premier League titles, four FA Cups, two League Cups as well as the Champions League triumph. He has been named Chelsea's Player of the Year and Players' Player of the Year and has won the Premier League Golden Boot twice.

Since leaving Chelsea in 2012 he has played for Shanghai Shenhua and Galatasaray, memorably making a return to Stamford Bridge last season when we beat the Turkish club in the Champions League Round of 16.

He has continued his international career and appeared in all three of Ivory Coast's games at the World Cup, taking his caps total to 104 with 64 goals scored.mia
 
AC Milan iko tayari kumuuza Mario Balotelli (23) kwenda Arsenal kwa sharti la kubadilishana na Joel Campbell (22).
 
Arturo Vidal (27) amesema hana mpango wala wazo la kwenda ManUtd.
 
Drogba arudi CFC!
 

Attachments

  • 1406308857307.jpg
    1406308857307.jpg
    96.1 KB · Views: 179
  • 1406308879416.jpg
    1406308879416.jpg
    57.7 KB · Views: 159
  • 1406308902412.jpg
    1406308902412.jpg
    58.3 KB · Views: 164
  • 1406308923608.jpg
    1406308923608.jpg
    73 KB · Views: 159
  • 1406308948026.jpg
    1406308948026.jpg
    128.3 KB · Views: 157
  • 1406308968065.jpg
    1406308968065.jpg
    85.9 KB · Views: 148
  • 1406308995936.jpg
    1406308995936.jpg
    190.9 KB · Views: 152
The special one best friend,hongera kwake,natarajia atajifunza mengi kutoka kwake na kuwa kocha bora siku zijazo...
 
Mbuziii kwenye kiroba...
Jamaa hata kupiga chabo kwa AW kashindwa...
 
Kweli tunamhitaji kama mchezaji?,au anakuwa benchi la ufundi
 
Sema kamchukulia uswaiba tu hana kitu tena

Watu hamjamsoma mourinho. Ngoja nitanue brain zenu though hili mourinho hajaliweka wazi sehemu yoyote.

Iko hivi: Mourinho and Chelsea wanataka uhakika wa kushinda epl msimu huu wa ligi, na katu si kubahatisha.

Fahamu pia Kwamba mourinho and Chelsea wamelalamikia sana poor striking force ya Chelsea kuwa ndio sababu ya wao kushindwa kuchukua epl na ucl msimu uliopita. Based on total number of goals scored by all 3 strikers.

Sasa alichofanya mourinho ni rahisi sana, amechukua mtu ambae Ana uhakika nae 100% Kwamba ataweza kuziba pengo la striking incase anaetarajiwa kufanya hivyo ( Diego Costa) ikitokea akashindwa ( kumbuka issue ya Mateja kezman, andry shevshenko na fernando Torres). Same situation inaweza happen kwa costa, kitu ambacho kitagharimu ubingwa kwa mourinho na Chelsea yake. Hawataki hilo kabisa litokee.

Fahamu pia Kwamba, drogba mbali ya umri wake kuonekana mkubwa kisoka ni striker anaefahamu na kukubali vizuri mbinu za mourinho, na bado anacheza vizuri kwenye kiwango cha kimataifa, Enough to still fit for Chelsea kwa meneja Jose mourinho.

Hope mmenielewa vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom