Transfer Window 2014/2015, Special thread

Transfer Window 2014/2015, Special thread

Arsenal have agreed a £19.8m fee with Real Madrid for Sami Khedira - personal terms now being discussed.
 
Kocha makini wa Juventus Antonio Conte ametangaza kuachia ngazi mara moja baada ya kutofautiana na Bodi ya klabu hiyo kuhusu usajili, na hasa suala la kumuuza Arturo Vidal.
Conte ameiwezesha Juve kutwaa ubingwa wa Serie A (Scudetto) miaka 3 mfululizo, na huenda akachaguliwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Italia.
 
Kaka ungekuwa unachambua matatizo ya kiuchumi kama hivi tungekuwa mbali
dirisha la usajili lipo wazi hadi tarehe 1 septemba, 2014.
View attachment 170312View attachment 170211View attachment 170212View attachment 170217View attachment 170214View attachment 170218View attachment 170314

manutd
- baada ya angel di maria (26) kukataa ofa, kocha van gaal sasa anaelekeza nguvu kwa arjen robben (31), mats hummels (25) na marco reus (25) wote kutoka germany.
- beki kinda luke shaw (19) ametua manutd kwa dau la £27m, kwa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa £100,000 kwa wiki. Luke shaw anakuwa kinda ghali zaidi ndani ya epl.
- beki wa arsenal thomas vermaelen (28) anakaribia kutua manutd kwa dau la 11m.
- kiungo wa athelic bilbao ander herrera (25) ametua manutd kwa dau la £29m kwa mkataba wa miaka 5.
- winga anayetisha duniani arjen roben (30) wa bayern anawaniwa kwa dau la £40m.
- bastian schweinsteiger (29) anawaniwa kwa dau la £20m.
- kiungo marouane felaini (26) ametupwa sokoni, bei yake ni £12m. Hii ni baada ya kushindwa kung'ara tangu aliponunuliwa kwa £27.5m kutoka everton.
- kocha van gaal ametua manutd kwa mkataba wa miaka 3, atasaidiwa na ryan giggs.
- nemanja vidic (32) atahamia intermilan msimu ujao kwa uhamisho huru.

arsenal

- mshambuliaji wa barca alexis sanchez (25) ametua arsenal kwa kitita cha £35m.
- kiungo wa real madrid na ujerumani sami khedira (27) anakaribia kutua arsenal baada ya kukataa kuongeza mkataba wake real madrid.
-mshambuliaji wa qpr na ufaransa loic remy (27) naye huenda akatua arsenal by next week kwa dau la £8.
- beki wa newcastle mathieu debuchy (28) anakaribia kutua arsenal kwa dau la £10m.
- mshambuliaji wa psg na argentina ezequiel lavezzi (29) anawaniwa kwa dau la £12m. Psg imesema bei yake ni kuanzia £15m.
- golikipa lukasz fabianski (29) amehamia swansea kama mchezaji huru.
- beki micah richards (25) wa mancity na mshambuliaji wilfried bony (25) wa swansea wanawindwa kwa jumla ya £40m.
- kocha arsene wenger (64) amesaini mkataba mpya wa kuifundisha arsenal hadi mwaka 2017.

chelsea
- mourinho anakamilisha usajili wa beki mpya wa kushoto
filipe luis (28) kutoka atletico madrid kwa kitita cha £20m.
- kiungo kinda 'hot cake' anayetisha duniani kwa sasa paul pogba (21) anawaniwa kwa £60m.
- mshambuliaji anayetisha duniani kwa sasa diego costa (25) ametua chelsea kwa dau la £32m.
- kiungo mshambuliaji cesc fabregas (27) ametua chelsea kwa dau la £30m, kwa mkataba wa miaka 5! Atavaa jezi namba 4.
- beki anayepanda david luiz (27) ametua psg kwa kitita cha £40m, kwa mkataba wa miaka 5.
- mkongwe frank lampard (35) anahamia new york city ya mls, usa.
- john obi mikel huenda akatua intermilan msimu ujao.

liverpool
- winga kinda lazar markovic (20) ametua liverpool kwa dau la £20m kutoka benfica.
- luis suarez amehamia barcelona kwa tita la £75m, mkataba wa miaka 5.
- mshambuliaji wilfried bony (25) anawindwa na liverpool na tottenham. Swansea imesema haondoki mtu bila £20m kumwagwa mezani.
- mshambuliaji kinda divock origi (19) anatua liverpool kwa dau la 10m.
- kiungo adam lallana (26) amehamia liverpool kwa mkataba wa miaka 5 kwa dau la £25m na mshahara wa £100,000 kwa wiki.
- mshambuliaji wa england rickie lambert (32) ametua liverpool kwa mkataba wa miaka 2 kwa dau la £4m.

mancity
- mkoba kisiki wa porto eliaquim mangala anakaribia kutua mancity kwa dau la £30m.
- full beki jembe bacary sagna (31) amesaini mkataba wa miaka 3. Atalipwa £140,000 kwa wiki.
- bei ya mkali lionel messi (26) sasa ni £164m kwa mujibu wa dau lililotengwa na mancity ili kumng'oa barcelona.
- mancity wametega dau la £53m kumng'oa kiungo kinda anayetisha duniani paul pogba (21) kutoka juventus.
 
Yahya Toure (31) ameweka wazi kwamba atabaki ManCity hadi mkataba wake utakapokwisha Mwaka 2017.
 
Wachezaji Javier Hernandez, Patrice Evra, Marouane Fellaini na Anderson hawamo kwenye kikosi cha wachezaji 25 wa ManUtd wanaokwernda preseason tour Marekani. Huenda wamo kwenye 'tenga' la van Gaal kwa mauzo.
 
Lile dili la Mario Balotelli (23) kwenda Arsenal limefufuka tena! Sasa Wenger anakaribia kukamilisha mambo kwa dau la £15.8m. Hii ni baada ya kuachana na Loic Remy anayekwenda Liverpool kwa dau la £8.5m.
Balotelli atavaa jezi anayoipenda, namba 45.
baloteli.PNG
 
Luis Suarez akiwa na mkewe Sofia ndani ya mitaa ya Barcelona jana Jumamosi. Suarez alioana na Sofia mwaka 2009.
Wawili hao walianza urafiki mwaka 2001, wakati huo Suarez alikuwa akifanya kazi ya kufagia barabara.
View attachment 172191
 
Khedira atatambulisha Arsenal kesho jumatatu_Metro.

Patrice evra atasaini mkataba na juve hapo kesho.
 
Wakuu the window is open not to players only hata mashabiki wa Manure i.e. Nzi, Belo et al wanaweza kuhamia timu nyingine kabla kitale hakijaanza khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mambo ya kushabikia timu inayocheza kila alihamisi watayakwepa ..... ...... ..... .. . Invisible, Peasant's and Mungiki Brother all are welcome to join other teams .. ... .... . Padri bandia Rev. Kishoka upo? Idimi, Eqlpzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz Game Theory, Alex Chamberlain et al na wale waliojaribu kubadili majina kama vinyonga ili wasijulikane EMT (Former Loserfools) et al. njooni na majina yenu ya zamani bana EPL ndio kwanza imeliza la mgambo. Mtaalam, Steve Dee, Kana ka nsungu, Senator, Icadon Mwl kichuguu ingawaje sio sana ..... ..... come back guys.

Zawadi ya £10 kwa kila member atakayerudi kwa jina la zamani ... ... ... it isn't fools day you know!


Nitahamia Arsenal kama ikishinda taji la EPL au UCL msimu ujao...
 
Golikipa wa Nice ya Ufaranca David Ospina (25, Colombia) anatua Arsenal kwa kitita cha £3.2m tu.
 
Arsenal imesema inataka kubadilishana Thomas Vermaelen (28) na ama Chris Smalling (24) au Phil Jones (22). Vermaelen amebakiza mwaka 1 kwenye mkataba wake na Arsenal, ManUtd inataka kumchukua kwa dau la £10m.
 
Nitahamia Arsenal kama ikishinda taji la EPL au UCL msimu ujao...


kHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE MKUU MWAKA HUU kOMBE LETU VANGAFFE HAJUI KUTOA BAHASHA NA WAINGEREZA HAWAMWAMINI MTU WA KUJA PATAMU HAPO ... .... .... .HAMIA EMIRATES FASTA NACHIKIA KULE OLD TRASHFORD WAMEANZA KUKATA MITI TU CHACHA.......ATI KUNA UPEPO MKALI ... .. MTAKOMA MWAKA HUU NA VAN GAFFE ... . MONO ALIKUWA PREAMBLE TU.
 
140722130913-rodriguez-tease-horizontal-gallery.jpg

(CNN) -- One of the World Cup's most exciting players has joined Real Madrid.

James Rodriguez -- Colombia's star man at Brazil 2014 and winner of the Golden Boot -- penned a six-year contract with the reigning European champion after his transfer from Monaco was completed in a reported $121 million deal.
The 23-year-old midfielder's six goals and two assists at the World Cup had heads turning at all the big clubs, but Real was destined to get its man after Rodriguez told Spanish sports newspaper Marca that he dreamed of playing for "Los Blancos."
"It's really flattering to know that a club of Real Madrid's stature is interested in me. It'd be a dream to join the club of my dreams," Rodriguez said.

"Would I jump at the chance to go to Real? No doubt about it, my answer is a resounding yes," he added.
It was then only a matter of time before Real Madrid came knocking on Monaco's door.
Rodriguez joined Monaco last year for a fee of $60.8 million and scored 10 goals in 38 appearances as the French club finished runner-up to Paris Saint-Germain in Ligue 1.
Former Monaco chief executive and technical director Tor-Kristian Karlsen, who has regularly scouted players from Latin America, says Rodriguez is right up there with the world's best.
"He's possibly the best playmaker in the world at present," Karlsen told CNN in June.
Rodriguez even caught the attention of NBA star and avid football fan LeBron James.
"Man watching this Colombia game I think I have my new favorite player in the World Cup! Obviously his name help that out #Biased" LeBron tweeted.
The 10-time European champion has always aimed to buy the world's top players, and Rodriguez certainly fits the mold following his exploits at Brazil 2014, where he scored the goal of the tournament against Uruguay.
His innate ability to pick a pass and his willingness to attack with speed and control make him an exciting prospect for a Real Madrid team intent on playing a counter-attacking style of football.

Source: CNN
 
Madrid wamesainisha mtu... Sema hizi timu za spain huwa hazisajili mabeki..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom