Beki wa kushoto Alberto Moreno (22, Spain) wa Sevilla anakuja Liverpool kwa dau la £12m.
ndio anaonyesha kua yeye ni mpenzi wa epl tu mwambie tena ageukie spain aone watu wanavyo fanya mambohivi wewe kichwat huu uzi unahusu epl pekee? Mbona sioni ukizungumzia timu za bundasliga, laliga au hata serie A? Nenda kule spain mkaone nini watu wanafanya. Atletico de Madrid, barcelona, real madrid kwa kutaja chache.
Vp bayern munich? Dotmund je? Kule seria A kina Roma, Napoli, juve Milan na inter wote wanafanya usajili we unaangaika na vilabu vya uingereza tu.
Badilisha heading yako andika epl transfer special thread.
hivi wewe kichwat huu uzi unahusu epl pekee? Mbona sioni ukizungumzia timu za bundasliga, laliga au hata serie A? Nenda kule spain mkaone nini watu wanafanya. Atletico de Madrid, barcelona, real madrid kwa kutaja chache.
Vp bayern munich? Dotmund je? Kule seria A kina Roma, Napoli, juve Milan na inter wote wanafanya usajili we unaangaika na vilabu vya uingereza tu.
Badilisha heading yako andika epl transfer special thread.
mkuu ukisema hivyo utakua unakosea basi hata mada wenyewe ungaliandika kua ni big 4 tu halafu usiseme kua EPL kua ndio ligi inayofuatiliwa zaid saivi watu wengi wamebadilika tunaangalia ligi zote c epl tu la si hivyo badilisha mada yaku na kama unasema c jui east africa jua kwamba humu tumo wengi na hatawengine hawako east africa samahani lakni!!!Ndio mdau: Huu uzi unahusika na BIG SIGNINGS za timu kubwa za EPL (INs & OUTs).
Mchujo huo umefanyika ili kuwa na kitu kizuri zaidi, tukizingatia EPL ndio ligi inayofuatiliwa zaidi East Africa.
Ahsante.
mkuu ukisema hivyo utakua unakosea basi hata mada wenyewe ungaliandika kua ni big 4 tu halafu usiseme kua EPL kua ndio ligi inayofuatiliwa zaid saivi watu wengi wamebadilika tunaangalia ligi zote c epl tu la si hivyo badilisha mada yaku na kama unasema c jui east africa jua kwamba humu tumo wengi na hatawengine hawako east africa samahani lakni!!!
sina haja ya kuanzisha uzi ila hivyo nilivyokwambia ndio ukweli wenyeweanzisha uzi
sina haja ya kuanzisha uzi ila hivyo nilivyokwambia ndio ukweli wenyewe
poa mku haina shida wee endelea tu kutupa updateMkuu sjapinga wazo lako la msing lakin inavoonesha mkuu aliyewekewa uzi wake sticky hataki, so tutafanyaje.
Hata nataman kuona timu zote apa.