kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,820
- 1,718
- Thread starter
-
- #101
Ndiyo, acheki. Lazima kutakuwa na changamoto; jambo lolote linaweza kumtokea mtu, iwe mimi au wewe.,tafuta namba ya UTUMISHI wapigie utakuja nishukuruSi anasema hawajajibu chochote hivyo hawezi ona comments yoyote
maana ni haki yake kujua kama wamekubali au kukataaKwa kweli hiyo time interval inaogofya. Hebu jaribu kuzama Utumishi kabisa Dodoma. Hiyo miezi simu haifai kabisa nenda Utumishi physically
Labda anamaanisha comment ya supervisor wangu.Si anasema hawajajibu chochote hivyo hawezi ona comments yoyote
Yes, jaribu kujifunza, kiongozi. Je, uliomba vacancy au normal transfer? Je, hiyo nafasi bado ipo hadi sasa hivi?Labda anamaanisha comment ya supervisor wangu.
Hata kama anga-comment kwa kukusagia kunguni Utumishi hawawezi kushindwa kukujibu.. kwanza hao supervisor sidhani, Mwajiri wako akiipitisha Kiroho safi haina shidaLabda anamaanisha comment ya supervisor wangu.
pia ajaribu kuwacheki anapo taka kwendaHata kama anga-comment kwa kukusagia kunguni Utumishi hawawezi kushindwa kukujibu.. kwanza hao supervisor sidhani, Mwajiri wako akiipitisha Korosho safi Haina shida
Napotaka kwenda tunawasiliana vizuri mara kwa mara. wao wananisubiri.pia ajaribu kuwacheki anapo taka kwenda
basi wacheki utumishiNapotaka kwenda tunawasiliana vizuri mara kwa mara. wao wananisubiri.
Sawa mkuu.basi wacheki utumishi
Kwani ukiomba kupitia vacancy request mwajiri hawezi kucomment kukataa uhamisho wako? Ebu nipe shule ktk hiliKipenseli Kama walishampa nafasi (Vacancy) hao hawana Shida. Kinachobaki ni UTUMISHI kijibu, Labda kama aliomba kupitia dirisha la kawaida (Normal)
Ndugu,kuna watu wameomba July na wameshapata vibali,wakati wengine bado. Naona unashangaa kwamba ombi lipo utumishi na May wameshapata vibali,yeye bado. Hapo cha muhimu azingatie huo ushauri wa kwamba awasiliane na utumishi.hapo nahisi lazima kutakuwa na changamoto,kuna watu waliomba may,na walipata vibali kabla ya mwaka wa feza,uwezi jua kuna comments gani au maoni gani
hujajibu swali mkuu, fafanua ombi lako la Uhamisho lilianzia VACANCY request au NORMAL TRANSFER request?Sawa
Vacancy ina maana Taasisi unayotaka kuhamia wamekupa nafasi wazi ya kuhamiaKwani ukiomba kupitia vacancy request mwajiri hawezi kucomment kukataa uhamisho wako? Ebu nipe shule ktk hili
Ndio nimeelewa Yan ndo washakupa huyo nafasi kwa kuaccept ktk mfumo,, kwahy kwann useme mwajiri wako hawezi kukuzuia? Ndo nataka kuelewa perspective hiiVacancy ina maana Taasisi unayotaka kuhamia wamekupa nafasi wazi ya kuhamia
Yani uliomba vacancy Request na mwajiri akaipitisha iende destination organisation halafu kwenye ku-initiate transfer mwajiri huyohuyo aweke comment ngumu!Nadhani hata wao watamshangaaKwani ukiomba kupitia vacancy request mwajiri hawezi kucomment kukataa uhamisho wako? Ebu nipe shule ktk hili
Vacancy request inahusisha taasisi mbili,unapotoka(mwajiri wa sasa) na unapokwenda(Destination organisation) na kote wanao approve/Reject ni head of institution. Sasa kama mwajiri ame-approve(kuonesha yupo tayari kuruhusu uondoke) haja-reject na taasisi unayokwenda waka-approve (kuonesha wapo tayari kukupokea) kinachobaki ni idhini ya katibu mkuu kukubali au kukataa(kwa sababu ambazo utajulishwa)Ndio nimeelewa Yan ndo washakupa huyo nafasi kwa kuaccept ktk mfumo,, kwahy kwann useme mwajiri wako hawezi kukuzuia? Ndo nataka kuelewa perspective hii
Lilianzia Normal Transfer.hujajibu swali mkuu, fafanua ombi lako la Uhamisho lilianzia VACANCY request au NORMAL TRANSFER request?
Oooh kumbe hapo sawa! Nimekuelewa ipasavyo ila bado Nina swali la nyongeza je Kuna option ya mwajiri ku reject Ombi la vacancy request? Coz nasikia nwajur huatakiwi kuzuia Ombi la mtumishi, Sasa hii imekaaje mana umesema mwajiri alilizia Ombi kwenda destination organization?Vacancy request inahusisha taasisi mbili,unapotoka(mwajiri wa sasa) na unapokwenda(Destination organisation) na kote wanao approve/Reject ni head of institution. Sasa kama mwajiri ame-approve(kuonesha yupo tayari kuruhusu uondoke) haja-reject na taasisi unayokwenda waka-approve (kuonesha wapo tayari kukupokea) kinachobaki ni idhini ya katibu mkuu kukubali au kukataa(kwa sababu ambazo utajulishwa)
Katika kipengele cha vacancy request, mwajiri ana option ya approve/reject . Ila katika transfer request hakuna option ya ku-reject,Oooh kumbe hapo sawa! Nimekuelewa ipasavyo ila bado Nina swali la nyongeza je Kuna option ya mwajiri ku reject Ombi la vacancy request? Coz nasikia nwajur huatakiwi kuzuia Ombi la mtumishi, Sasa hii imekaaje mana umesema mwajiri alilizia Ombi kwenda destination organization?