Transfer mkopo?

Thebony

Member
Aug 16, 2012
92
2
Wana jamii?kumbuken jns gani tulisubl kwa ushlikiano heslb wato majn ya mikopo?mie pia nilipata ila tcu walinitelekeza sua nikakosa usajl nikarud ardh wakanipoke but mpaka leo mkopo wangu upo sua?kwa mwenye uelewa niutaratbu gan unaotumika kuhamisha ansaidie?
 
Tuwekane sawa hapo maan madeni yatatuua
umeshawasiliana na loarn board??? unamkumbuka sam mtu anaehusika maswala ya mikopo pande za sua??? embu jaribu kuwasiliana nae wenda atakupa clue!!!!!
 
Wasiliana na desk loan officer wa chuo ulichopo,yeye atawasilisha taarifa zako HESLB then wata divert mkopo wako ili usipelekwe chuo chako cha awali.
 
Nenda loan board ukiwa na barua yenye vithibitisho iache chumba namba 9. Nenda chumba namba 24 pia watakusaidia
 
Back
Top Bottom