Transfer kutoka St Joseph Dar kwenda Must Mbeya

Sossy Mwasi

Senior Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
190
Reaction score
23
Wakuu kuna mtu amechaguliwa bsch of mechanical engineering st joseph ila angependa kuhamia bsch of architecture Must..vp anaweza kupata au hiyo course hapo Must ina competition sana?..msaada tafadhali.
 
Wakuu Hampo?
 
atapata make had 3rd round bado inaonekana kuna nafas,xo bado haijajaa,asubir tu dirisha la transfer la tcu lifunguliwe mara baada ya kufungwa kwa 3rd round
 
Mwsho Wa Third Round Ni Tar Ngap?
 
Wakuu kuna mtu amechaguliwa bsch of mechanical engineering st joseph ila angependa kuhamia bsch of architecture Must..vp anaweza kupata au hiyo course hapo Must ina competition sana?..msaada tafadhali.

Bachelor of architecture technology must ckushaur km kweli unaipenda architecture bora u-opt ardhi miaka mitano sio ishu
 
atapata make had 3rd round bado inaonekana kuna nafas,xo bado haijajaa,asubir tu dirisha la transfer la tcu lifunguliwe mara baada ya kufungwa kwa 3rd round

Dirisha la transfer tayari limeshafunguliwa. Mwaka huu linafanyika online kupitia personal profiles.
 
transfer zote zinaanza shugurkiwa kwanzia tar 15octber,utalipia 30000 then itakuwa first cme first served
 
Ebu fafanua vzuri kwanini architecture ya must unasema sio nzur

Mimi nimesoma dip y arch must, kulikuwa n mgogoro baina ya AQRB(Architect n quantity surveyor registration board) na MUST
Kwa sababu AQRB walikuwa hawaikubali mtaala wa architecture technology inayofundishwa must kwa miaka mitatu
 
kama angekuwa na diploma ya arch.. angepiga 3 years...ila kama hana ni 4 years...
 
Ni kweli ila ukijua tofauti kati ya bachelor of science in architecture ya ardhi na bachelor in architectural technology ya must ndio itakupa sense kwanini must mtaala wao uko ovyo

Kwanza malecture wa must wengi ni kutoka ardhi waliosoma bachelor of science in architecture ardhi lkn wanaenda kufundisha architecture technology
 
Back
Top Bottom