transfer app from internal memory phone to SD card

Ukiwa home screen bonyeza Menu key kisha nenda settings -> Applications -> Manage Applications -> Tafuta app unayotaka kuisogeza kwenye SD card, ibonyeze -> Bonyeza button ya "Move to SD card"

Kumbuka kuwa ili App iweze kuwekwa SD card ni lazima developer aitengeneza kuwa na uwezo huo, ndo maana utakuta zengine haziwezi kusogezwa.

Mwisho unaweza kuinstall app inawa "app 2 SD" kutoka android market (Play) inarahisisha process hii.
 
natumia smart phone os android 2.2 jamen memory inajaa haraka nahamshaje downloaded apps

is your Gadget Rooted?? if not I suggest you use the method of going to setings, but if it's Rooted use the App2SD method it's much simpler, pia kumbuka moving app to SD haimaanishi haito kula internal memory itaendelea kula kama kawaida ila in a smaller quantity
 
Ntajuaje ka iko rooted?? me natumia droid 2.3.6
 
So mkuu you mean ili simu iwe rooted someone has to do t manually??
Exactly, lazima uchukue hatua za makusudi, na kuna risk ya kuiua simu ukichemka step so lazima ulifikirie hilo. Uki google model ya simu yako na root utaona kama inawezekana na ni vipi unaweza kufanya e.g "ZTE Blade Root" simu tofauti zina process tofauti.
 
natumia smart phone os android 2.2 jamen memory inajaa haraka nahamshaje downloaded apps

Tumia code hii *#9900# System Dump Mode,ukishaandika hyo code zitakuja options kadhaa,select "copy to SD" ,baada ya secs kadhaa itakuambia tyr,check internal memory utakuta imeongezeka,huwa naitumia kwenye Galaxy mini ili ku-free some space kwenye internal memory.Simu yangu pia inarun Android OS froyo 2.2.1
 
Back
Top Bottom