Mimi ni mhitim wa kozi ya clinical assistant KUTOKA kwenye chuo flani hapa DAR nimefatilia transcript KUTOKA NACTVET na kufanikiwa kuipata hivyo napenda kujuzwa INA umuhim kwenye kuomba nafasi za kazi maana sehem nying wanahitaj vyeti na leseni.
Bora umalize tu umebakiza mwaka mmoja! kama changamoto ni ada nenda ofisi za nacte waambie hautaki kuendelea na diploma wakupe cheti cha CA,wanakuondoa kwenye mfumo level 6 unapata cheti level 5