Trafiki wa kike na vimini

tena usiombee huyo trafiki mwenyewe awe muumuni mzuri wa mkorogo unaweza kuomba asiruhusu gari za upande wako ziende ili uendelee kufaidi
 
ni shidaaaaaaaaaaa etii!mie mwenyewe nkiwaga na mzee wangu nataman nimzibe macho mda mwingne maana anavyotoaga mimacho loo!unaeza ukajikuta gari linagongwa etiii,wapunguze bhana vimino vyao!
 
Vimini vyao pia husababisha ajali kwa madereva wazembe wa kiume....
 
Amini nakwambia ukiona matrafic na mapolisi wa Brazil utajikuta umegonga aisee,,, kwanza wamesheni halafu vinguo vya kubana balaa, halafu kifuani sasa,,,,,, sasa ukute polisi wa kike shepu zito halafu pembeni kaweka pistol balaa zaidi

Weka picha.
 

Waache watekeleze majukumu yao.
 
Haaaaa haaaaa.Kuna logic kwenye pointi yako.haa haa,umenianzishia siku vizuri leo!!!
 

Naona wawe wanavaa kanzu.
 

wana makalio makubwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…