Hii imemekua kama ni hali ya kawaida au labda ndio utaratubu sare za trafiki ..kina dada wengi matrafiki wanavaa skirt either kwa mbele ziefunika magoti lakini unakuta kwa uoande wa nyuma imenyanyuka na kuacha seheme kubwa ya nyuma wazi ..kupanda kutoka kwnye magoti .. na wengi wao huvaa fupi kabisa (KIMINI).. kama hutaki kuamini ..kama upo barabarani karibu na trafick jaribu kumuangalia tu utaona haya nnayoyasema .
jaribuni kubadilika na tambueni kuwa nyie wa kuigwa na jamii kwa kutenda yaliyo mema .. .