5-10,000 Magu alishapitisha hiyo ni hela ya kubrashia viatu hamna rushwa hapo.Jamani nani atakomesha rushwa kwa traffic police? Tarehe 30 July 2016 nimepita njia ya Bagamoyo - Msata mida ya saa 5 asubuhi, ma ma ma ma ma! polisi wa barabarani walijiposition kwenye kibao cha barabarani kilicho andikwa 50 kwenye kona na kifaa chao cha kupima speed ya magari. Jamani!!! Hakuna gari hata moja lililoandikiwa faini ya sh. 30000, magari yooote tulitozwa rushwa ya kuanzia 5000 hadi 10000 tu na kuendelea na safari. Gari langu dogo nimeambiwa nimeendesha speed ya 55km/saa badala 50 na wakati wa kurudi siku inayofuata nikaambiwa nimeendesha km 60. Magufuli rushwa traffic huiwezi bana.
Kama ndo eneo lako la kazi basi kuna tatizo kwa hayo majamaa yako. Utawakuta wamesimamisha gari na mmulikaji kavaa kiraia juu ya gari na nyumba ya gari upande wa pili wa gari ndo kakaa mtoa hukumu na magari yamefolenishwa kila dereva anazuunguushwa nyuma ya gari kutolewa upepo. Aibu hii hata hawaogopi kitu banaHili linanihusu kabisa kwakuwa hilo ndio eneo langu la kazi
Nipe siku mbiliKama ndo eneo lako la kazi basi kuna tatizo kwa hayo majamaa yako. Utawakuta wamesimamisha gari na mmulikaji kavaa kiraia juu ya gari na nyumba ya gari upande wa pili wa gari ndo kakaa mtoa hukumu na magari yamefolenishwa kila dereva anazuunguushwa nyuma ya gari kutolewa upepo. Aibu hii hata hawaogopi kitu bana
Watu wengine bhana, umeambiwa utoe elfu 5 badala ya elfu 30 bado unalalamika
Inasikitisha sana mkuu....
Hela ya kubrush viatu JPM alisema! Ruksa, hawana kosaJamani nani atakomesha rushwa kwa traffic police? Tarehe 30 July 2016 nimepita njia ya Bagamoyo - Msata mida ya saa 5 asubuhi, ma ma ma ma ma! polisi wa barabarani walijiposition kwenye kibao cha barabarani kilicho andikwa 50 kwenye kona na kifaa chao cha kupima speed ya magari. Jamani!!! Hakuna gari hata moja lililoandikiwa faini ya sh. 30000, magari yooote tulitozwa rushwa ya kuanzia 5000 hadi 10000 tu na kuendelea na safari. Gari langu dogo nimeambiwa nimeendesha speed ya 55km/saa badala 50 na wakati wa kurudi siku inayofuata nikaambiwa nimeendesha km 60. Magufuli rushwa traffic huiwezi bana.
Mshana hebu waache usije wachukulia hatua au kuwapiga picha wakipokeaNipe siku mbili