Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,663
- 59,000
Acha fix, wapi Lamborghini hapo?View attachment 334733 View attachment 334733 Aisee!! Jamaa kasahau kuwa yupo road..
Hiyo ni stalet old modelView attachment 334733 View attachment 334733 Aisee!! Jamaa kasahau kuwa yupo road..
Ngoja tukutafutie miwani... unavaa lensi namba ngapi?Acha fix, wapi Lamborghini hapo?
3.0 tuma fastaNgoja tukutafutie miwani... unavaa lensi namba ngapi?
Pw!3.0 tuma fasta
Hapo kwenye bush umesahau "a" au ndo ipo ivoivo!Wewe utakua mwanaume wa dar
Mzigo wa bush huo umekuja kutembea mjini sasa ndio umekamatwa
Kama mbwa kwa chatuNaona kama trafiki kawa mpole.
Ipo hivyoHapo kwenye bush umesahau "a" au ndo ipo ivoivo!