Hao mbona kidogo kuna troop ipo sakina dammitHalafu wanapenda kitu kidogo.
Kuna trafik mmoja yupo maeneo ya field force ni mnene karibu tumbo litapasuka.
Duh, leo mida ya jioni, within 45 min traffic 2 wameniomba kitu kidogo, sijawapo chochote, hawa corrupt police wanaendekeza njaa muda wote, hawana aibu kabisa.Halafu wanapenda kitu kidogo.
Kuna trafik mmoja yupo maeneo ya field force ni mnene karibu tumbo litapasuka.
Kuna mmoja bonge pale Usa River naye huwa anakuwa na tochi ni mla rushwa mkubwaKipindi Makonda akiwa Rc Arusha alitoa ushauri kwa polisi wa usalama barabarani kupunguza usumbufu kwa wenye vyombo vya moto
Kitendo kilicho saidia hata kupunguza foleni barabarani.
Nita jaribu kutoa mifano ya usumbufu uliopo sasa barabara za Arusha mjini baada ya Makonda kuondoka.
Kama una toka Morombo stand kuna trafiki, ukifika Field force kuna trafiki, ukifika Darajani kuna trafiki, ukifika Safina kuna trafiki, ukija juu kidogo ya Jr uta kutana nao, ukifika Mbauda zambarauni hao hapo, Ngarenaro hao hapo, Summit wengine hao imagine huo ni mwendo ambao hakuna kilomita 10.
Mahali oa dakika kumi sasa tuna tumia dakika 45 hadi saa moja kwa usumbufu wa trafiki, na elewa wanacho taka ni mshiko.. Viongozi wa polisi Arusha tuna omba rekebisheni hili tatizo..
Imagine mataa ya Arusha Technical yameharibika muda sasa,Duh, leo mida ya jioni, within 45 min traffic 2 wameniomba kitu kidogo, sijawapo chochote, hawa corrupt police wanaendekeza njaa muda wote, hawana aibu kabisa.
Kikosi maalumu cha wakusanya ushuru barabarani.Kipindi Makonda akiwa Rc Arusha alitoa ushauri kwa polisi wa usalama barabarani kupunguza usumbufu kwa wenye vyombo vya moto
Kitendo kilicho saidia hata kupunguza foleni barabarani.
Nita jaribu kutoa mifano ya usumbufu uliopo sasa barabara za Arusha mjini baada ya Makonda kuondoka.
Kama una toka Morombo stand kuna trafiki, ukifika Field force kuna trafiki, ukifika Darajani kuna trafiki, ukifika Safina kuna trafiki, ukija juu kidogo ya Jr uta kutana nao, ukifika Mbauda zambarauni hao hapo, Ngarenaro hao hapo, Summit wengine hao imagine huo ni mwendo ambao hakuna kilomita 10.
Mahali oa dakika kumi sasa tuna tumia dakika 45 hadi saa moja kwa usumbufu wa trafiki, na elewa wanacho taka ni mshiko.. Viongozi wa polisi Arusha tuna omba rekebisheni hili tatizo..
Lt.Col kila nikikuona nacheka, sijui nacheka nini😅🤣🤣Tusaidiane tu mkuu 🤣🤣
Kuna kitu huwa nashindwa kuwaelewa hawa trafiki wa Arusha, barabara toka Sakina hadi Tengeru ni double road, na lengo la double road ni kupunguza foleni mijini, kwa kuruhusu magari kutembea,. Kwa trafiki wa Arusha ni kinyume, maana hujificha kwenye maua na kupiga touch ati speed limit ni 50 double road.Wapuuzi Wale Hapo Sakina Eti Wanapiga Live Torch Ila Njaa Mbaya Sana
Ujinga Pale Arusha Ni Mwingi SanaKuna kitu huwa nashindwa kuwaelewa hawa trafiki wa Arusha, barabara toka Sakina hadi Tengeru ni double road, na lengo la double road ni kupunguza foleni mijini, kwa kuruhusu magari kutembea,. Kwa trafiki wa Arusha ni kinyume, maana hujificha kwenye maua na kuoiga touch ati speed limit ni 50 double road.
Barabara ina njia za baiskeli, ina njia za watembea kwa miguu, ina vivuko lakini jamaa zetu wana sema 50km/h. Mambo ya aibu kabisa