Trafiki agongwa na gari Morogoro

Trafiki agongwa na gari Morogoro

Ubungo nako kuna ajali mbaya sana imehuasha magari manne. Lory, uda na gari ndogo mbili zimekuwa chapati.

Out of Context...............!!!!!!!!!!!!!!!! Wake Up na Ukiweza Hebu Pitia Upya Kichwa cha Habari cha Uzi, Samahani Kama Nitakukera.
 
Kwa hiyo mkuu unataka kutuambia kamanda Kova wa kanda Maalum ya Dar es Salaam atakuwa hakustahili kuwa askari mkuu!!!?? Maana macho yake yanaangalia upande mmoja tu (kengeza).

Na Ndiyo Maana Aking'ang'ania Kitu Anakishikilia Hicho Hicho tu Kwani Ndipo Makengeza Yake Yalipolenga na Kuona Vizuri na Tusisahau Pia Kuwa Watu wa Aina hii Huwa ni Wabishi Kufa Mtu...........................!!!!!!!!!!
 
Ha ha ha mkuu,umeua, kwa ubishi hawa huwakamatwi kabisa yaani sijui watakuwa na vinasaba gani vinafanana. Anyway, si unajua jicho la mcheza sinema kova liliondolewa na shemejiye baada ya kumpiga dadake akawa amekasirika ndipo akalenga ngumia ikampata sawa sawa!!!
 
Makubwa!!!!!!!!!!!
 
attachment.php

Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan 'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro.Hii ni Mara ya Pili kwa Askari Huyo Kugongwa na Gari Mkoani Hapa.

Hajafa?
 
Kwa hiyo mkuu unataka kutuambia kamanda Kova wa kanda Maalum ya Dar es Salaam atakuwa hakustahili kuwa askari mkuu!!!?? Maana macho yake yanaangalia upande mmoja tu (kengeza).

kova anatumia intelijensia zaidi kuliko macho.....
 
Back
Top Bottom